Friday, February 21, 2014

BONANZA TUMBAKU


Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Tumbaku ya Universal Tawi la
Tanzania, wakipiga 'jaramba' kujiandaa kuanza Bonanza la michezo
mbalimbali ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha Siku ya Wanafamilia wa kampuni hiyo kwa mwaka 2013, mwishoni mwa wiki
lililofanyika Mjini Morogoro. (Na Mpigapicha Wetu)

No comments:

Post a Comment