Friday, February 21, 2014

ZIARA BANDARINI

Waziri wa Biashara ya Nje wa Uholanzi, Liliane Ploumen (katikati), akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Bandari ya Dar es Salaam jana, Mhandisi Awadh Massawe, wakati wa ziara katika bandari hiyo iliyolenga kuona fursa za uwekezaji wa nchi hiyo, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mageni Kipande kushoto ni Meneja uhusiano wa mamlaka hiyo Peter Milanzi. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment