Mwakilishi Mkazi
wa Shirika la Maendeleo la Japani (JICA) Yasunori Onishi, akizungumza Dar es
Salaam Jumatatu ,wakati wa utiaji saini makubaliano ambapo Japani itaipatia Tanzania msaada wa
fedha zaidi ya sh. bilioni 6 kwa ajili ya kusaidia kilimo kwa wakulima wadogo
nchini. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Silnvanus Likwelile na
Balozi wa Japani nchini , Masaki Okada. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment