Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi ya STRABAG Ujenzi wa Barabara wakiendelea na ujenzi katika mazingira ya tatizo la mafuriko jijijni . |
Mkazi wa Kwadelo Kondoa mkoani Dodoma Bi. Mwanahamisi Ally akionesha mkono nje ya nyumba yake uliokatwa na fisi. wakati akisaka maji. Shida ya maji ilichangia kero kwa wakazi wa eneo hilo..
No comments:
Post a Comment