|
Baadhi ya waandishi wa habari na maofisa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiangalia mtambo maalumu wa ujenzi katika Kiwanja linapojengwa nyumba 118 ghorofa 16 Hananasif Kinondoni |
|
Meneja Huduma kwa Jamii wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Muungano Saguya, akiwatambulisha baadhi ya viongozi wa shirika hilo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), kabla ya ziara ya kutembelea miradi ya ujenzi ya shirika hilo. Kushoto ni Meneja Mauzo Tuntufye Mwambusi na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara David Shambwe. |
-
Waandishi wakiangalia vifaa mbalimbali na kuzungumza na mkandarasi anayejenga jenngo hilo ambalo litakuwa na nyumba 118 ambazo zitauzwa kwa watu mbalimbali zaidi ya 700.
|
Baadhi ya maofisa wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakiwa katika majadiliano kwenye mradi wa ujenzi Kinondoni Hananasif. Kutoka Kushoto ni Ofisa Masoko Mariam Ndabagenga, Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara, David Shambwe, Meneja Habari na Mawasiliano , Yahya Charahani na Meneja Mauzo, Tundufye Mwambusi. |
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), David Shambwe (kulia) akiwaonesha waandishi wa habari ujenzi wa nyumba 118 katika eneo la Hananasif Kinondoni wakati wa ziara ya kuangalia miradi mbalimbalui ya shirika hilo
No comments:
Post a Comment