Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Siku ya Mtoto Afrika Jijini Mwanza Bw. Godfrey Salumu akifafanua utaratibu wa utendaji kazi kwa kamati ndogondogo zilizoundwa na wajumbe (hawapopichani) ili kuweza kufanikisha maadhimisho hayo.
Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana, KIVULINI Bw Ramadhani Masele (kushoto) ambaye pia ni mjumbe wa kamati ndogo ya Uratibu, Mipango na Fedha akiteta jambo na mjumbe mwenzake wakati wa kikao hicho.
Wajumbe wa Kikao cha kwanza cha maandalizi ya Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika itakayofanyika Juni 16 chini ya kauli mbiu ya “Kuondoa Mila Zenye Kuleta Madhara kwa Watoto ni Jukumu Letu Sote
Uongozi wa kamati ya maandalizi ya sherehe ya siku ya Mtoto wa Afrika wilaya ya Nyamagana,
Mwanza. Kulia ni Bw Godfrey Salum ambaye ni Mwenyekiti wa kamati, Bw. DevisMrope
(katikati) ambaye ni Katibu, kushoto ni Katibu Msaidizi Bi. Francisca Michael.
No comments:
Post a Comment