Saturday, April 5, 2014

MATUKIO YA OPERESHENI YA KUSAFISHA JIJI LA DAR INAYOENDELEA

 Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakipita kwa nafasi katika Mtaa wa Kongo baada ya kuondolewa wamachinga
                               Mtaa wa Kongo ukiwa wazi baada ya operesheni ya uhakika inayoendelea
           Askari Polisi na wale wa Jiji wakipita katika Mtaa wa Kongo ili kudhibiti usalama wakati wa operesheni endelevu
                    Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga), wakijadiliana baada ya

No comments:

Post a Comment