Jaji Mkuu wa Shindano la Safari Lager Nyama Choma Lawrence Salvi (kulia) akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Dar es Salaam kipimo maalumu cha kupimia nyama choma siku ya shindano hilo jumapili ya Pasaka. Kushoto ni Dj. John Dillinga na Mratibu wa shindano hilo, Peter Zacharia.
Mratibu wa shindano Peter Zacharia. Peter Zacharia akionesha kikombe cha bingwa wa shindano la Safari Lager Nyama Choma (kushoto), Dj. John Dillinga na Jaji Mkuu wa shindano hilo Lawrence Salvi.
No comments:
Post a Comment