Saturday, May 17, 2014

COMMITEE CHARITY PEOPLE TRUST ' YAWAPIGA MSASA' VIONGOZI WA KIISLAMU

Naibu Mufti Tanzania Alhaj Ally Mkoyogole, akizungumza , wakati wa Semina ya waislamu iliyohusu uhamasishaji wa mshikamano kwa waislamu nchini, iliyoandaliwa na Taasisi ya misaada ya  Comitee Charity People Trust. Kushoto ni Rais wa taasisi hiyo, Sheikhe Abdallah Ndauka .
Mmoja wa wanafunzi wa dini ya kiislamu,Swahibu Mahmoud  akisoma Quran tukufu, wakati wa ufunguzi wa semina hiyo
Rais wa taasisi hiyo Sheikhe Abdallah Ndauka, akizungumza wakati wa semina hiyo iliyofanyika katika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam
Sheikhe Ndauka akimkaribisha Naibu Mufti kuzungumza katika mkutano huo
                   Baadhi ya washiriki wa semina wakisikiliza mada mbalimbali wakati wa semina hiyo

No comments:

Post a Comment