Baadhi ya viongozi wa kiroho wa Kata za Wilata za Chemba, Kondoa na Kiteto, mkoani Dodoma wakisikiliza mawaidha wakati wa semina na harambee ya kuchangia mfuko wa Mufti wa Tanzania.
 |
Viongozi wa Kata hizo wakisikiliza mawaidha |
 |
Sheikh wa Mkoa wa Dodoma akisisitiza jambo wakati wa semina hiyo iliyofanyika sambamba na harambee ya kuchangia mfuko wa Mufti wa Tanzania, Issa Shaaban Bin Simba (katikati) Kulshoto ni Diwani wa Kata ya Kwadelo Alhaj Omary Kariati, akisaini hundi ya sh. 700,000 kuchangia mfuko huo |
 |
Diwani Kariati akionesha hundi ya NMB yenye thamani ya sh. 70,000 kabla ya kuikabidhi |
 |
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Alhaj Omary Kwaang akizungumza wakati wa semina na harambee hiyo ambapo alitoa ahadi ya sh. milioni 1 kuchangia mfuko huo |
Baadhi ya viongozi mbalimbali wakiwa katika sherehe za maulidi katika kata hiyo (wa pili kulia) ni Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Alhaj Omary Kwaang (wa tatu kushoto) ni Sheikhe Mkuu Mufti, Issa Shaaban Bin Simba
No comments:
Post a Comment