|
Kocha wa Timu ya Taifa Matt Nooij, akiangalia mchezo huo |
Wachezaji wa Taifa Stars wakipasha moto viungo kabla ya pambano hilo ambapo walishinda 1-0, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
|
Timu ya Zimbabwe ilifanya mazoezi kabla ya mechi hiyo |
|
Mchezaji wa Kimataifa wa TP Mazembe ya Congo DRC, Mbwana Samatta, akiongoza na wachezaji wenzake kuingia vyumba vya kubadilisha |
|
Viongozi wa TFF na Shirikisho la Soka Afrika CAF wakiimba nyimbo za Mataifa |
|
Waamuzi kutoka Ghana wakiwapigisha kura Manahodha wa timu kabla ya kuacha mchezo |
Kikosi cha Zimbabwe
|
Kikosi cha Stars |
Mchezaji wa Kimataifa wa TP Mazembe ya Congo DRC, Thomas Ulimwengu (kushoto), akimtoka beki wa Ziombabwe, Danny Phiri
Stars wakishangilia gori lililofungwa na John Bocco 'Adebayo'
No comments:
Post a Comment