Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassani Mwinyi akimpongeza Diwani wa Kata ya Kwadelo Kondoa, mkoani Dodoma, Alhaji Omary Kariati (kulia) akiwa juu ya aina ya matrekta yanayosambazwa kwa wakulima na diwani huyo ikiwa ni kuunga mkono 'Kilimo Kwanza'.
Wakazi wa jiji wakikunjana mashati baada ya kutokea kutokuelewana kati yao, kama walivyokutwa Mtaa wa Msimbazi Kariakoo, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment