Thursday, May 22, 2014

NMB YAFUNGUA TAWI LA BUNGE MJINI DODOMA NI MAHSUSI KWA WABUNGE


                       TAWI LA BUNGE
Spika wa Bunge, Anna Makinda, akifungua pazia kuashilia ufunguzi wa Tawi la Bunge la Benki ya NMB Mjini, Dodoma juzi. Wengine ni viongozi mbalimbali wa benki hiyo. Tawi hilo jipya litasaidia kuwapa wabunge huduma za kibenki kwa karibu zaidi wawapo katika vikao vyao vya bunge. Nyuma ya spika ni Mkurugenzi    Mkurugenzi Mtendaji Mark Wiessing  na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa benki hiyo, Joseph Semboja ,

No comments:

Post a Comment