 |
Umati uliwa katika Barabara ya Morogoro kushuhudia moto huo |
 |
Bidhaa mbalimbali yakiwamo matandiko yakiwa barabarani baada ya kuokolewa |
Wafanyabiashara wakilinda mali zao katikati ya Barabara ya Morogoro
Baadhi ya wasamaria wakiangalia mabaki ya vitu mbalimbali
 |
Baadhi ya wafanyabiashara wenye maduka Manzese Darajani wakilinda bidhaa zao walizohifadhi chini ya daraja katikati ya Barabara ya Morogoro baada ya kujiokoa na ajali ya moto iliyoteketeza maduka yao, Dar es Salaam jana, (Picha ya juu) ( mmoja wa waokoaji akiangalia eneo lenye moto. Juu ni mamia wakazi wa eneo hilo wakiangalia tukio hilo. |
No comments:
Post a Comment