Mkazi wa Tanga, Victor Mnyuku(kulia) akipata maelezo kuhusu huduma na bidhaa zinazotolewa na Benki ya NMB kutoka kwa maofisa wa NMB Antony Gwason (katikati) na Anyandwile Mwakyusa (kushoto), wakati wa Mkutano Mkuu wa 30 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tanzania (ALART), mwishoni mwa wiki Mjini Tanga. NMB ilidhamini mkutano kwa kutoa sh. milioni 150.
No comments:
Post a Comment