Sunday, May 11, 2014

NMB YATOA MSAADA WA VYAKULA VYA SH. MILIONI 10 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO KYELA

Baadhi ya maofisa wa benki ya NMB wakisubiri taratibu za kukabidhi misaada hiyo
Maofisa wa NMB BENKI WAKIFANYA MAKABIDHIANO KWA VIONGOZI WA WILAYA YA KYELA MBEYA, Magreth Malenga (wa tatu kushoto)
Mkuu wa Wilaya ya Kyela Magreth Malenga  (kulia), akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB  Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Lucresia Makiriye (katikati) kabla ya kukabidhiwa misaada hiyo
Baadhi ya waandishi wa habari wakirekodi tukio la makabidhiano
Viongozi wa Wilaya ya Kyela wakijadiliana jambo na Maofisa wa NMB wakati wa makabidhiano ya misaada hiyo (wa pili kulia ), ni Mkuu wa Wilaya hiyo
Makabidhiano ya misaada ya NMB yakifanyika



MKUTANO MKUU WA MWAKA (AGM) CRDB ULIOFANYIKA MKOANI ARUSHA

Mkuu wa Wilaya ya Kyela, Magreth  Malenga (wa pili kulia), akipokea msaada wa vyakula mbalimbali vyenye thamani ya sh. milioni 10  kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Lucresia Makiriye (wa pili kushoto) na Meneja wa NMB Tawi la Kyela  mkoani Mbeya,  Hamadan Silliah (kushoto) Msaada huo umetolewa kwa waathirika wa mafuriko Wilayani humo. Vyakula hivyo ambavyo ni pamoja na Mchele, Maharage na mafuta vitanufaisha kaya zaidi ya 320 zilizopatwa na maafa hayo.

Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya CRDB akimpongeza Mkurugenzi Huru wa Bodi hiyo,  Lawrence Mafuru baada ya kuchaguliwa wakati wa Mkutano Mkuu wa 19 wa Wanahisa wa Benki ya CRDB uliofanyika jijini Arusha, mwishoni mwa wiki.

No comments:

Post a Comment