 |
Mkurugenzi Mkazi wa Kampuni ya Unilever Tanzania Limited, Raymond Banda (wa pili kushoto), akimkabidhi mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae', Dar es Salaam juzi Mkazi wa Mbezi Luis ambaye ni mshindi wa kwanza wa safari ya Dubai, Idd Athumani (kulia) aliyejishindia tiketi ya kwenda kwa mapomziko nchini Dubai na mwenzi wake, baada ya kununua sabuni ya Omo. wa pili kulia ni Balozi wa Omo, Mariamu Migomba na Meneja Masoko, Teresa Kamweru. |
 |
Mkuu wa Usambazaji wa Omo Burque EA LTD, Rana Khisur Hayat (kushoto), akimkabidhi mfano wa tiketi ya ndege ya kwenda Dubai na kurudi mshindi wa Kwanza, Hapiness Mnyachibwe (kulia) |
 |
Mkuu wa Usambazaji wa Omo Burque EA LTD, Rana Khisur Hayat (kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. 600,000 mshindi wa pili, Bi. Alama Ngajilo (kulia) |
Mkurugenzi Mkazi Antony Banda (kushoto), akimkabidhi fedha taslimu sh. 600,000 Bi. Jasmine Sinare (kulia), wa pili kulia ni Balozi wa OMO Mariamu Migomba na Meneja Masoko, Teresa Kamweru.
No comments:
Post a Comment