Monday, May 19, 2014

TWIGA CEMENT (TPCC) WASHEREHEKEA SIKU YA FAMILIA / NDOVU WAFANYA SEMINA YA WASANII

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni Saruji ya Twiga (TPCC), wakichuana katika mchezo wa mpira wa wavu  katika bonanza la Siku ya Wanafamilia wa TPCC jijini Dar es Salaam .
Msanii wa nyimbo za kizazi kipya , maarufu kwa jina la C. Pwaa(kulia) akichangia maada wakati wa Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.
Msanii Mkongwe wa muziki, Mzee Dully Sacks akichangia mada wakati wa Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.

No comments:

Post a Comment