 |
Michael Wambura akizungumza na waandishi wa habari na wanachama, mara baada ya kuchukua fomu Makao Makuu ya Klabu hiyo. Kulia ni Msemaji wa klabu hiyo, Asher Muhaji. |
 |
Mgombea wa Urais katika Klabu ya Simba Michael Wambura (kulia), akisalimiana na baadhi ya wanachama mara baada ya kuchukua fomu. |
Baadhi ya mashabiki na wanachama wakifurahia mara baada ya Wambura kuchukua fomu ya mgombea wa urais.
 |
Mashabiki wakisukuma gari Marcedes Benz la mgombea huyo, wakati akitoka Makao Makuu ya klabu hiyo, Dar es Salaam . |
Baadhi ya mabango ya mipasho ya mashabiki kwa wagombea wengine wa nafasi hiyo
 |
Mashabiki wa ttimu hiyo wakiandamana katika Barabara ya Uhuru, Kariakoo wakati wa kumsindikiza mgombea huyo. |
No comments:
Post a Comment