| Meneja wa Bia ya Ndovu, Pamela Kikuli, (wa pili kushoto), akisindikizwa na warembo uwanja wa ndege |
| Mpishi Mkuu wa Bia za Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Nkya akijibu maswali ya waandishi kuhusu tuzo hizo |
| Meneja wa Bia ya Safari, Oscar Sherukindo (wa pili kulia), akisindikizwa na warembo mara Baada ya kutua Uwanja wa ndege akitokea nchini Ufaransa kuchukua Tuzo z ya Ubora wa Bia hiyo |
| Meneja wa Bia ya Safari, Oscar Sherukindo (katikati), akisindikizwa na warembo na mpambe (kulia) mara Baada ya kutua Uwanja wa ndege akitokea nchini Ufaransa kuchukua Tuzo z ya Ubora wa Bia hiyo |
No comments:
Post a Comment